top of page
Filip-C-Agoo-Everland-Marketing-Congo-314-WEB-low-resolution.jpg

KWA JUMUIYA ZA MISITU

logo

Soko la Kujitolea la Hewakaa na vyanzo vingine vya sekta ya kibinafsi vya ufadhili ya shughuli za uhifadhi ni fursa kwa jumuiya za misitu:

kufikia fedha za tabianchi kwa masharti yao binafsi

kufanya kazi na sekta ya kibinafsi kama washirika, si waokozi

kutumia shughuli za uhifadhi kufadhili malengo ya maendeleo

maendeleo ya kifedha katika kiwango ambacho ni cha mageuzi na
cha uzalishaji anuwai

Inawezekana kusawazisha dharura ya hatua dhidi ya tabianchi kuhusiana na matamanio binafsi ya jamii kuhifadhi misitu.

Kwa nini ushirikiane nasi?

Wildlife Works iliasisiwa mnamo 1997 ili kubadilisha mfumo wa uhifadhi kutoka ule wa enzi za ukoloni ambapo watu walionekana kutengwa na asili, hadi mfumo uanoupa kipaumbele jamii ambapo watu wamejumuishwa kama sehemu ya asili.

Tunaamini kuwa ili miradi ya kuhifadhi misitu ifaulu, jamii za ndani lazima ziongoze katika muundo na utekelezaji wao. Utafiti umeonyesha mara kwa mara kwamba mazingira ya misitu inayokaliwa na kusimamiwa na IP na LC huwa na viumbe hai vilivyolindwa vyema zaidi, maji na maliasili nyingine.

Maendeleo ya mradi wetu na mchakato wa usimamizi unawapa kipaumbele wanajamii katika kushiriki kwenye uundaji wa mradi, kuunga mkono haki zao, kuheshima na kuzipa kipaumbele utamaduni na fedha zao katika malengo yao ya maendeleo yaliyobainishwa binafsi.

MCHAKATO MPANA WA FPIC

Wildlife Works huzingatia Idhini Huru na Ya Mapema Iliyofahamishwa (FPIC) kuwa mchakato unaoendelea, na ni muhimu katika kila awamu ya miradi yetu.
Mchakato wetu wa FPIC huanza kama vipindi vya umakinifu wa kusikiliza kabla ya mikataba yoyote kujadiliwa au kutiwa sahihi. Inajumuisha kufanya mpango wa kufikia jamii kwa wanachama wa jamii wenye mashiko kwa utamaduni na kuheshimu muundo wao wa utawala.

docoratice vector image
docoratice vector image

HAKI NA UWAZI KATIKA
KUGAWA MAPATO

Tunaweka kipaumbele cha uwazi wa kifedha na kuunda mifumo ya haki na usawa ya ugavi wa mapato ambayo inawafaa washikadau, huku tukipangia kiasi cha juu zaidi cha mgawo kuendesha hazina za kujielekeza kwa jamii.

docoratice vector image

MALENGO YA MIRADI
YA MATAMANIO BINAFSI

Washirika wetu wa jamii hubaini malengo yao binafsi ya maendeleo kupitia nadharia pana ya warsha za mabadiliko zinazofanywa sambamba na jamii.

docoratice vector image

IDHINI WAZI

Tuna mchakato wa wazi wa kutatua malalamiko kindani na tuna vipindi vya mara kwa mara vya kusikiliza katika kipindi kizima cha mradi.

docoratice vector image

KANUNI ZILIZOWEKWA NA WENYEJI NA JAMII ZA NDANI

Tunalenga kuhakikisha kuwa miradi yetu yote inatii kanuni zote zilizowekwa na Ushirikiano wa Misitu ya Watu.

Mask group.jpg

Ikiwa wewe ni au unawakilisha kikundi cha Wenyeji au Jamii za Ndani na ungependa kuanzisha mradi wa kuhifadhi mazingira na Wildlife Works utakaofadhiliwa kupitia ufadhili wa tabianchi, tafadhali wasiliana nasi.

bottom of page